Email this sample to a friendKiti cha Bosi
Mlenge Fanuel Mgendi


Smashwords Edition, 2011

Copyright 1996 – 2011 by Mlenge Fanuel Mgendi. All rights reserved.


[Paperback Version:

ISBN: 1448660793

EAN-13: 9781448660797]


Kiti cha Bosi

Mlenge Fanuel Mgendi

Hadithi za Uswahilini


© 1996 - 2009 by Mlenge Fanuel Mgendi. All rights reserved.

mlenge@yahoo.com


Utangulizi


Hadithi hii ni ya kufikirika, iliyoandikwa na Mlenge Fanuel, na kuchapishwa kwenye gazeti mojawapo Tanzania, 1996.


Shukrani


Shukrani kwa wote ambao kwa namna moja au nyingine wamefanikisha kuwapo kwa kitabu hiki, na Mlenge Fanuel, mwandishi.


Shukrani mahsusi zimfikie Lucas Mnubi, aliyetoa fursa ya hadithi hii kuchapishwa kwenye gazeti alilokuwa anahariri.

Previous Page Next Page Page 1 of 12