Books tagged: mapenzi

The adult filter is active; there may be additional content. To view this content, click the "Adult Content" button above to change your filtering option.

Found 3 results

Kionjo cha Unafiki
Price: $1.99 USD. Words: 6,080. Language: Swahili. Published: October 9, 2015. Categories: Nonfiction » General reference » Questions & answers
Kionjo cha Ushairi ni neno la kutufaa katika maisha ya mahusiano mema. Tukizingatia ukweli tutaishi maisha mazuri. Akosaye aombe msamaha. Aombaye msamaha asamehewe. Asamehewaye ashukuru.
PENZI LA KIFO
Price: Free! Words: 1,180. Language: Swahili. Published: November 10, 2013. Categories: Fiction » Romance » Fantasy
kifo akiwa kwenye kazi duniani anakuta na mrembo na kuanguka ndani ya penzi ila tatizo mama wa mrembo huyo siku yake ya kufa ilikuwa imefika na kifo ndo alikuwa amekuja kuchukua roho yake.hawa namuuguza mama yake lakini mambo yanakuwa magumu pale kifo anapo mpenda wakati akiwa kaja kuchukua roho ya mama yake. je penzi lao litahimili kifo cha amina
Mtaka cha Mvunguni
Price: $2.99 USD. Words: 4,590. Language: Swahili. Published: June 10, 2013. Categories: Fiction » Romance » Action/adventure
Rasta Kiwiro ametekwa bakunja na kidosho aliyelimbikizwa ndani ya nyumba moja katika mtaa huu. Je, angefanya nini kumnasa? Hadithi hii ni mambo ya kweli? Soma usikie vituko vya kuyumkinika vinavyompata mwanamuziki huyu aliyepumbazwa na nyonda na kufanya vitendo vilivyopotoka hekima; na kilichowasibu wapenzi wote wawili.