Books tagged: swahili

The adult filter is active; there may be additional content. To view this content, click the "Adult Content" button above to change your filtering option.

Found 75 results

Safari za Gulliver
Price: $6.99 USD. Words: 280. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Safari za Gulliver Hapa zamani za kale, kulikuwa na mwanamaji aliyeitwa Gulliver. Siku moja, alianza safari. Ghafula, kulikuwa na dhoruba kubwa. Merikebu ya Gulliver ilianza kuzama! Gulliver aliruka nje ya merikebu, na akaogelea kwa kisiwa. Alipofika ufukoni,alikuwa amechoka. Alilala kwa mchanga. Gulliver's Adventures Swahili books for kids, children's books in Swahili
Mambo Ya Kutatanisha Kuhusu Wanyama
Price: $6.99 USD. Words: 210. Language: English. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Mambo Ya Kutatanisha Kuhusu Wanyama Mbona Kangaruu huruka? Kwa sababu hawawezi kusongesha kila mguu wao kivyake. Nini inafanya nyuki kuvuma? Wanapigapiga mabawa yao kwa mzunguko wa mara 400 katika sekunde moja. Mtetemo huu husababisha sauti ya kuvuma. Crazy animals Swahili books for kids, children's books in Swahili
Maswali Ya Utani
Price: $6.99 USD. Words: 200. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Maswali Ya Utani Nini kina miguu nne lakini hakiwezi kutembea? Kiti! Umewahi kuona ndovu akijificha nyuma ya sofa? Funny Questions Swahili books for kids, children's books in Swahili
Panya wa Mji na Panya wa Mashambani
Price: $6.99 USD. Words: 350. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Panya wa Mji na Panya wa Mashambani Hapo zamani , kulikuwa na panya ambaye aliishi mjini. Jina lake lilikuwa Panya wa Mji. Siku moja, alienda kutembea nchini. Alipokuwa akitembea alikutana na panya aliyeitwa Panya wa Mashambani. Panya wa Mashambani akasema, The Town Mouse And The Field Mouse Swahili books for kids, children's books in Swahili
Gole Atorokaye
Price: $6.99 USD. Words: 250. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Gole Atorokaye Siku moja, wanawake wawili walikuwa wanaoka gole. Wakati gole ilikuwa karibu kuiva, walianza kugombana. Kila mwanamke alitaka kula gole lote. Hawakutaka kugawana. Mwanamke mmoja akasema, "Gole hili ni langu!" Na yule mwingine akasema, "Hapana, Gole hili ni langu!" The Runaway Pancake Swahili books for kids, children's books in Swahili
Binti mfalme na Njegere
Price: $6.99 USD. Words: 320. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Binti mfalme na Njegere Hapo zamani za kale, kulikuwa na Mwana mfalme. Aliishi katika kasri mrembo, lakini alikuwa na upweke. Mwana mfalme alitaka kuoa. Mama ya Mwana mfalme alikuwa Malkia. Alimtaka Mwana mfalme awe na bibi mrembo na mwerevu. Lakini Mwana mfalme hakuwapenda mabinti wafalme wowote. The Princess And The Pea Swahili books for kids, children's books in Swahili
Wanamuziki wa Bremen
Price: $6.99 USD. Words: 300. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Wanamuziki wa Bremen Hapo zamani za kale, kulikuwa na punda. Alikuwa mzee na mdhaifu, na hakuweza kufanya kazi tena. Siku moja, punda aliamua kuenda Bremen. Akawaambia marafiki zake, “Nitakuwa mwanamuziki huko Bremen.” Aliwaaga, na kuanza safari yake. The Musicians Of Bremen Swahili books for kids, children's books in Swahili
Mavazi Mapya ya Mfalme
Price: $6.99 USD. Words: 350. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Mavazi Mapya ya Mfalme Hapo zamani za kale, kulikuwan Mfalme. Mfalme hakuwa mtu mzuri. Alikuwa mchoyo, na mlafi. Alipenda pia kula chakula. Alikuwa mnono. The King's New Clothes Swahili books for kids, children's books in Swahili
Mvuvi na Bibi Yake
Price: $6.99 USD. Words: 360. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Mvuvi na Bibi Yake Hapo zamani za kale, kulikuwa na mvuvi na bibi yake. Mvuvi alikuwa mtu mzuri na mkarimu. Lakini, bibi yake alikuwa mlafi na mchoyo. Siku moja, mvuvi alikuwa anavua samaki. Alikamata samaki mkubwa sana. Ghafla, kitu cha ajabu kilitendeka. The Fisherman And His Wife Swahili books for kids, children's books in Swahili
Hadithi ya Pandikizi la Tanipu
Price: $6.99 USD. Words: 230. Language: Swahili. Published: November 22, 2016. Categories: Fiction » Children’s books » Fairy tales & fables
Hadithi ya Pandikizi la Tanipu Hapo zamani za kale, kulikuwa na mtu na mwanamke mzee.Waliishi katika shamba. Siku moja, mtu mzee alipanda tanipu. Bibi yake alipenda tanipu. Ilikuwa ni chakula kipenzi chake. The Giant Turnip Story Swahili books for kids, children's books in Swahili