Mtaka cha Mvunguni

Rasta Kiwiro ametekwa bakunja na kidosho aliyelimbikizwa ndani ya nyumba moja katika mtaa huu. Je, angefanya nini kumnasa? Hadithi hii ni mambo ya kweli? Soma usikie vituko vya kuyumkinika vinavyompata mwanamuziki huyu aliyepumbazwa na nyonda na kufanya vitendo vilivyopotoka hekima; na kilichowasibu wapenzi wote wawili. More

Available ebook formats: epub mobi pdf rtf lrf pdb txt html

First 20% Sample: epub mobi (Kindle) lrf more Online Reader
Words: 4,590
Language: Swahili
ISBN: 9781301546947
About Karang'ae Chege

Karang'ae Chege amekuwa mwandishi wa vitabu kwa zaidi ya mwongo mmoja. Awali alifahamika kwa mashairi yake katika idhaa ya taifa na gazeti la Taifa Leo. Alipata kufahamika zaidi katika michezo ya kuigiza katika Idhaa ya Taifa ya Sauti ya Kenya na Ukumbi wa Michezo wa Kenya, Nairobi. Tamthilia yake "Vita vya Panzi" ilishinda katika mashindano ya uandishi ya Okoth K'Obonyo na kuigizwa kwa muda mrefu na waigizaji mashuhuri wa enzi hizo. Vitabu vyake vya watoto, "The Battle For Nyika", "Lost in the Forest", "The Girl who Became a Monster", "Tausi na Majuto Katika Safari ya Mabwe", na "Tausi na Majuto Katika Kisa cha Gaidi Lii", ni mashuhuri sana kwao Kenya, Afrika Mashariki na pembe zote duniani.

Report this book