Waathirika.

Rated 5.00/5 based on 1 reviews
Ni nyakati za giza kuu ulimwenguni. Maafa na maasi yanatisha kuharibu Dunia. Lakini idadi chache ya wateule wanaoamini wanakuwa viongozi baada ya mabadiliko yaliyo tikisa ulimwengu kufuatia mageuzi na kuwepo imani na upendo. Riwaya hii, inayozingatia utabiri halisi ulio kwenye Bibilia, itafanya mengi zaidi na kuburudisha, kuvutia, kushangaza, na zaidi kukushawishi. More
Download: epub mobi (Kindle) pdf more Online Reader

Also by This Author

Reviews

Review by: mtotowamungu on April 4, 2015 :
Kitabu kizuri kujifunza zaidi kuhusu Unabii wa Biblia. Asante sana!
(review of free book)
Report this book