Jack Na Shina La Mharagwe

Jack Na Shina la mharagwe Hapo zamani za kale, kulikuwa na kijana aliyeitwa Jack. Aliishi na mamake. Hawakuwa na pesa, lakini walikuwa na ng'ombe. Mamake Jack akasema, “Pesa zetu zimeisha. Nenda sokoni ujaribu kuuza ng'ombe yetu. Na ununue chakula na pesa utakayopata.”

Available ebook formats: epub

About Dino Lingo

Dino Lingo language learning programs for children. Available in 50 languages. Books, DVDs, CDs, flashcards, posters, toys and more. For more please visit our website.

Also by This Author

Reviews

This book has not yet been reviewed.
Report this book