Peter Pan

Peter Pan Hapo zamani za kale, kulikuwa na mvulana aliyeitwa Peter Pan. Peter alikuwa mvulana maalum kwa sababu aliweza kupaa, na aliweza pia kuzungumza na wanyama. Alikuwa pia na ustadi wa kupigana na upanga. Hakuwa anazeeka; daima alibaki kijan. Peter Pan alikuwa daima mchangamfu kwa sababu aliishi katika kisiwa cha kichawi kiitwacho Neverland. Ilikuwa ni mahali maalum.

Available ebook formats: epub

About Dino Lingo

Dino Lingo language learning programs for children. Available in 50 languages. Books, DVDs, CDs, flashcards, posters, toys and more. For more please visit our website.

Also by This Author

Reviews

This book has not yet been reviewed.
Report this book