Mkulima mwenye pupa

Mkulima mwenye pupa. Hapo zamani za kale, kulikuwa na mkulima mzee. Alikuwa amechoka kwa sababu amekuwa akifanya kazi ngumu katika maishani mwake. Mkulima hakutaka kuendelea kufanya kazi ngumu tena. “Mwaka huu, Nitapanda tu mchele. Maisha yangu yatakuwa rahisi kidogo” akasema mkulima. The Impatient Farmer. Swahili books for kids, children's books in Swahili.

Available ebook formats: epub

Words: 190
Language: Swahili
ISBN: 9781535730754
About Dino Lingo

Dino Lingo language learning programs for children. Available in 50 languages. Books, DVDs, CDs, flashcards, posters, toys and more. For more please visit our website.

Also by This Author

Reviews

This book has not yet been reviewed.
Report this book