Wanamuziki wa Bremen

Wanamuziki wa Bremen Hapo zamani za kale, kulikuwa na punda. Alikuwa mzee na mdhaifu, na hakuweza kufanya kazi tena. Siku moja, punda aliamua kuenda Bremen. Akawaambia marafiki zake, “Nitakuwa mwanamuziki huko Bremen.” Aliwaaga, na kuanza safari yake.
The Musicians Of Bremen Swahili books for kids, children's books in Swahili

Available ebook formats: epub

About Dino Lingo

Dino Lingo language learning programs for children. Available in 50 languages. Books, DVDs, CDs, flashcards, posters, toys and more. For more please visit our website.

Also by This Author

Reviews

This book has not yet been reviewed.
Report this book