Safari za Gulliver

Safari za Gulliver Hapa zamani za kale, kulikuwa na mwanamaji aliyeitwa Gulliver. Siku moja, alianza safari. Ghafula, kulikuwa na dhoruba kubwa. Merikebu ya Gulliver ilianza kuzama! Gulliver aliruka nje ya merikebu, na akaogelea kwa kisiwa. Alipofika ufukoni,alikuwa amechoka. Alilala kwa mchanga.
Gulliver's Adventures Swahili books for kids, children's books in Swahili

Available ebook formats: epub

About Dino Lingo

Dino Lingo language learning programs for children. Available in 50 languages. Books, DVDs, CDs, flashcards, posters, toys and more. For more please visit our website.

Also by This Author

Reviews

This book has not yet been reviewed.
Report this book