Kuzaliwa mara ya pili maana yake nini?

Kuzaliwa mara ya pili maana yake nini? Hili ni swali ambalo Nikodemo mwalimu wa sharia alijiuliza, Yesu alipomwambia ‘...Amin amin nakuambia, mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu’ (Yohana 3:3). Hakuelewa kuzaliwa mara ya pili ni kitu gani ndio maana akaanza kumuuliza Yesu ilia pate ufafanuzi wa jambo hilo.

Available ebook formats: epub mobi pdf

First 20% Sample: epub mobi (Kindle)
About Bernard Pelekamoyo

Bernard Pelekamoyo is a christian teacher of word of God.

Learn more about Bernard Pelekamoyo
Report this book