Evarist Chahali

Biography

Founder&CEO AdelPhilConsult | Ex-Intelligence Officer | Consultant | Social Entrepreneur |Swahili Teacher | Author | Blogger | Tech junkie |

Where to find Evarist Chahali online


Where to buy in print


Books

Miaka Miwili Ya Urais Wa Magufuli: Safari Ya Matumaini Au Nyota Iliyofifia?
Price: $2.75 USD. Words: 27,280. Language: Swahili. Published: December 8, 2017. Categories: Nonfiction » Politics & Current Affairs » Democracy
Kitabu hiki kinafanya tathmini ya kina ya urais wa Dokta John Pombe Magufuli, Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tangu alipoingia madarakani Novemba 5, 2015 hadi Novemba 5, 2017. Kitabu kinaangalia maeneo ambayo Rais Magufuli amefanya vizuri na yale aliyofanya vibaya. Ni uchambuzi makini usioelemea upande wowote isipokuwa kwenye ukweli.
Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani? Na Anafanya Nini?
Price: $9.99 USD. Words: 33,460. Language: Swahili. Published: October 15, 2017. Categories: Nonfiction » Reference » Careers, Nonfiction » Career Guides » Law enforcement
Kitabu hiki kinaelezea kuhusu taaluma nyeti ya Uafisa Usalama wa Taifa, yaani ushushushu, si kwa nchi moja bali popote duniani.

Evarist Chahali's tag cloud