Karang'ae Chege

Biography

Karang'ae Chege amekuwa mwandishi wa vitabu kwa zaidi ya mwongo mmoja. Awali alifahamika kwa mashairi yake katika idhaa ya taifa na gazeti la Taifa Leo. Alipata kufahamika zaidi katika michezo ya kuigiza katika Idhaa ya Taifa ya Sauti ya Kenya na Ukumbi wa Michezo wa Kenya, Nairobi. Tamthilia yake "Vita vya Panzi" ilishinda katika mashindano ya uandishi ya Okoth K'Obonyo na kuigizwa kwa muda mrefu na waigizaji mashuhuri wa enzi hizo. Vitabu vyake vya watoto, "The Battle For Nyika", "Lost in the Forest", "The Girl who Became a Monster", "Tausi na Majuto Katika Safari ya Mabwe", na "Tausi na Majuto Katika Kisa cha Gaidi Lii", ni mashuhuri sana kwao Kenya, Afrika Mashariki na pembe zote duniani.

Smashwords Interview

Do you remember the first story you ever wrote?
Oh! Yes. I wrote the first story when I was in Class Four. It was about a huge monster that went on swallowing people.
What is your writing process?
Whenever a story comes in my mind, I record it in points so that it may not get lost. That way I can weave it in prose whenever I get time or inspiration.
Read more of this interview.

Books

This member has not published any books.