Mapepo na Namna ya Kuyashugulikia
Price: $5.00 USD. Words: 23,020. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / General
Shughuli za mapepe zinawekwa wazi katika kitabu hiki kipya cha kipekee na Dag Heward-Mills. Tukitumia ushuhuda wa mwanamme mwenda wazimu wa Gadara, anaonyesha njia ya ushinda thidi ya mapepo na roho mbaya.
Եկեղեցու աճը ...դա անհնարին չէ՛:
Price: $7.50 USD. Words: 51,080. Language: Armenian. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christianity
Հայտնի է, որ եկեղեցու աճը խաբուսիկ է և դժվար հասանելի: Յուրաքանչյուր հովիվ ցանկանում է, որ իր եկեղեցին աճի: Այս գիրքը եկեղեցու աճի Ձեր փնտրտուքի պատասխանն է: Դուք կհասկանաք, թե ինչպես են եկեղեցու աճին հասնելու համար «բազմաթիվ տարաբնույթ բաներ գործում միասին»: Սիրելի՛ հովիվ, երբ այս գրքի խոսքերն ու օծությունը հասնեն Ձեր սրտին, Դուք կտեսնեք եկեղեցու աճը, որի համար աղոթք էիք բարձրացնում:
Itaje! Idai!! Ichukue!!!
Price: $5.00 USD. Words: 23,680. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / General
Katika kitabu hiki, mwandishi anamwonyesha muamini funguo kuu ya kupokea upenyo wa kiroho, kimwili, kiuchumi na kimali!
Kurudi Nyuma
Price: $5.00 USD. Words: 22,320. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / General
Katika kitabu hiki, Askofu Dag Heward-Mills sauti ya kengele, na graphically inaonyesha nini kila Mkristo ni lazima kufanya hivyo kwa Mbinguni!
Hatari za Kiroho
Price: $3.50 USD. Words: 19,200. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / General
Mkristo hutembea katikati ya hatari nyingi, mitego na mitambo. Kitabu hiki kitafumbua macho yako kwa hatari nyingi za kutatiza zinazoongoja kutuumiza, kutujeruhi na kutuharibu. Jisaidie, Jiokoe na jiondoe kupitia kitabu hiki cha nguvu kuhusu hatari za kiroho!
Waambie
Price: $3.50 USD. Words: 31,770. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Mashamba ni meupe na mavuno ya roho yameiva, lakini je, wako wapi wahubiri? Kitabu kipya cha Dag Heward-Mills kinachovutia ni mwito wa ddharura kwa Wakristo ike wawe washinda roho.
Anagkazo Tol. 2
Price: $3.50 USD. Words: 6,290. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Jifunze kuhusu hii nguvu ya kushurutisha ambayo inaufanya uinjilisti uwe mzuri na mafanikio hata ikiwapo mapingamizi, kisingizio, tuhuma, chuki nk. Kitabu hiki kilichoandikwa na Dag Heward-Mills kinaweza kukufanya uwe mvuna nafsi kuliko ulivyowahi kuwa.
Kwa nini wakristo wasiotoa fungu la kumi (zaka) huwa maskini … na jinsi wakristo watoaji wa fungu la kumi (zaka) wanavyoweza kutajirika
Price: $6.00 USD. Words: 39,960. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / General
Watu wengi hupambana na dhana ya kutoa fungu la kumi hata ingawa desturi hii ya kitambo imesababisha utajiri unaosifika wa Wayahudi. Katika kitabu hiki, Askofu Dag Heward-Mills anafunza jinsi kutoa fungu la kumi inashikilia misingi ya uundaji utajiri na muujiza wa mafanikio. Furahia moja kati ya vitabu vya kipekee vya Dag Heward-Mills.
Makosa makuu kumi wanaofanya wachungaji
Price: $3.50 USD. Words: 13,870. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Bibilia inatuamabia kwamba sisi sote tunafanya makosa mengi- wakiwamo pia wachungaji. Makosa yana uwezo wa kukurudisha nyuma badala ya kwenda mbele. Kosa linaweza kukuzuia kuendelea. Ni makosa yapi mchungaji anaweza kuyafanya? Ni makosa yapi ambayo yanaweza kuwa makosa kumi makuu ya mchungaji? Unakaribishwa kupitia kurasa za kitabu hiki maalum na ugundue mwenyewe makosa ambayo uko katika hatari ya
Kupoteza, Kuteseka, Kujitoa Dhabihu Na Ku...
Price: $5.00 USD. Words: 36,570. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Onyo hizi na Yesu Kristo hazijazui mamilioni ambao kwa urahisi huitikia upendo Wake wa ajabu. Mamilioni wanampenda Yesu Kristo licha ya hali ngumu ambazo ameweka kwa kumfuata. Kwa namna fulani, kumjua Mungu aliye hai na Mwanawe Yesu Kristo ni fidia tosha kwa mazito ambayo ni lazima tupitie.
Sanaa ya Uchungaji
Price: $7.50 USD. Words: 53,580. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Ikiwa wewe ni mchungaji wa kondoo za Mungu, utasaidiwa pakubwa na kazi hii iliyozingatiwa vyema. Kurasa hizi zina maelekezo ya kina na iliyochaguliwa kwa makini, muhimu kwa kufaulu. Kurasa hizi zina maelekezo ya kina na iliyochaguliwa kwa makini, muhimu kwa kufaulu. Dag Heward-Mills anatoa kutoka kwa tajriba yako ya uchungaji ya miaka thelathini, kugawa ufahamu kwa vitendo katika kazi ya utumishi.
I (do Not!) Accept
Price: Free! Words: 2,950. Language: English. Published: July 28, 2016. Categories: Fiction » Humor & comedy » Satire, Nonfiction » Computers and Internet » Computer literacy
How often do we skip over terms and conditions we see on websites, and accept them without a second look? Well that's fine, it's a choice we make, we trust the lawyers not to put anything funny in there. But sometimes the website lawyers try to take the choice away from us, try to force us to accept things we might not want to accept. This is a very fictitious story about very real T's and C's.
Mother At Seven
Price: $9.99 USD. Words: 95,570. Language: American English. Published: July 28, 2016 by Stillwater River Publications. Categories: Nonfiction » Biography » Autobiographies & Memoirs
Mother at Seven is the shocking, inspirational true story of a little girl’s tragic childhood, and how she endured and overcame a decade of unspeakable abuse at the hands of her cruel and sadistic family. Mother at Seven tells of those critical moments in a child’s life when the only thing standing between the life and death itself was a pure and innocent belief that better days lie ahead.
No Turning Back
Price: $6.99 USD. Words: 68,090. Language: English. Published: July 28, 2016 by Acrodile Publishing Ltd. Categories: Nonfiction » Inspiration » Personal inspiration, Nonfiction » Biography » Adventurers & explorers
AMREF Flying Doctors Society of Africa (FDSA)
Badilisha Huduma yako ya kiuchungaji
Price: $6.00 USD. Words: 39,720. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Hakika hiki ni kitabu cha ukaribisho. Askofu Dag Heward- Mills, yeye mwenyewe akiwa mchungaji pia, anaelezea ni kwa nini na jinsi gani unaweza kuifanya huduma ya uchungaji iwe bora zaidi.
Hatua Za Kufikia Upako
Price: $5.00 USD. Words: 39,760. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Unatamani kuwa mpakwa mafuta? Katika kitabu hiki cha kihistoria, Dkt Dag Heward-Mills anagawa hatua kadhaa za hadi kupokea upako. Kitabu hiki kwa hakika kitakuwa cha baraka kwako na utumishi wako. Gundua hatua unazohitaji kuchukua ili uwe mpakwa mafuta.
Beaver vs. Beaver: a legal comedy
Series: Family Court. Price: $6.99 USD. Words: 36,730. Language: English. Published: July 28, 2016. Categories: Fiction » Thriller & suspense » Courtroom
Legal comedy. Young Wall Street law firm-trained lawyer opens solo divorce practice in Ducklingburg, South Duck. First book in the series "Family Court."
Kupata Upako
Price: $3.50 USD. Words: 13,740. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Hii kitabu ya kipekee na Dag Heward-Mills atawafundisheni nini maana ya kupata upako na jinsi gani unaweza kuwa mafuta kwa ajili ya huduma. Kujifunza jinsi ya kukamata upako kwa ajili ya kazi ya huduma. Kitabu hiki ni lazima kwa kila mhudumu.
가식적인 사람들
Price: $5.00 USD. Words: 18,310. Language: Korean. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / General
교회 안에는 결국에는 충성치 못한 사람이 될 가식적인 사람들로 가득차 있다. 다른 사람을 속이고 가식적으로 행동하는 것이 사탄의 수법이다. 이러한 가식적인 사람을 보지 못하는 사람은, 이로인해 고통을 받게 된다. 위협하는 것, 익숙한 것, 혼란스러운 것 모두 사역자들이 싸워야하는 영적 전쟁의 상대이다. 하지만 대부분의 사람들은 이것들과 싸워야 한다는 사실 조차도 모른다. 이 책은 우리가 싸워야 할 우리의 적이 무엇인지 명확히 밝히는데 도움이 될 것이다.
Kanisa Kubwa
Price: $6.00 USD. Words: 43,610. Language: Swahili. Published: July 28, 2016. Categories: Nonfiction » Religion and Spirituality » Christian Ministry / Discipleship
Shetani anatka kanisa lako kubakia ndogo. Jinsi una watu wachache katika mkutano wako ndivyo alivyo na mateka wengi. Kima cha kanisa lako kinakuonyesha ni kwa kiwango kipi unapunguza idadi ya watu jehanamu. Wakati una kanisa kubwa, inamaanisha kwamba unajenga roho. Pia inamaanisha kwamba roho zaidi zimeepuka mikono ya shetani. Jua mengi katika hiki "cha lazima" kwa wachungaji wote.