Msafiri J. Mwaikusa

Biography

MSAFIRI J. MWAIKUSA is an assistant pastor at a local Assemblies of God church in Dar es Salaam, Tanzania, where he lives with his wife, Tracy, and their children. He also hosts a weekly podcast named Biblia Inasema Usiogope which can be listened to through Radio Public, Google Podcast, Apple Podcast and other platforms. He holds a bachelor degree in Bible and Theology from the Global University of Springfield MO, U.S.A;

Msafiri has an MBA and business experience in food industry and publication. He also has a teaching experience from the University of Dar es Salaam where he obtained his Bachelor of Science in Molecular Biology and Biotechnology.

Books

Biblia Inasema Usiogope
Kwa sababu ya woga watu wanapoteza fursa nyingi sana maishani. Wengine wamepoteza nafasi ya kupata mchumba mzuri kwa sababu ya woga, wengine kwa woga siku ya interview wakakosa kazi na bado wengine fursa za biashara zikawapita. Lakini Neno la Mungu liko wazi kwamba huna haja ya kuogopa yeyote wala chochote ila Mungu Mwenyezi. Katika kitabu hiki, Biblia Inasema Usiogope, mistari mbalimbali...
Mambo ya Kufanya Saa Yako Ikifika
Saa yako kufika haimaanishi saa katika damu na nyama, kama vile saa saba mchana au saa ya kula chakula bali inamaanisha saa katika ulimwengu wa roho. Saa ni kipimo cha muda, katika ulimwengu wa mwili na ulimwengu wa roho pia, lakini katika ulimwengu wa roho saa inasomwa kutokana na matukio. Kwa mfano, watu wanaweza kusema huyu amepona ajali mbaya kwa sababu saa yake haijafika. Na ninaposema...
Mbinu za Kupata Mume Mwema
Price: $2.99 USD. Words: 19,760. Language: Swahili. Originally Published: February 24, 2023 by Msafiri J. Mwaikusa. Categories: Nonfiction » Inspiration » General self-help, Nonfiction » Religion & Spirituality » Christian Life / Family, Nonfiction » Religion & Spirituality » Christian Life / Love & Marriage, Nonfiction » Religion & Spirituality » Christian Life / Women’s Issues
Mbinu za Kupata Mume Mwema ni kitabu kilichoandikwa ili kumsaidia binti au mwanamke wa Kikristo ambaye yuko tayari kujihusisha na mahusiano na mwanaume ili kuyakuza mahusiano na upendo wao hadi kufikia kufunga ndoa. Kitabu hiki kimeandikwa na mwanaume kwa hiyo kinakupa mbinu za kushinda changamoto za mahusiano- uchumba na ndoa, kutoka katika macho ya mwanaume. Ukisoma kitabu hiki utajua ni vitu...
How to Receive Money from God
HOW TO RECEIVE MONEY FROM GOD is a book about biblical financial promises to a believer. The Bible promises blessings to a believer and financial prosperity is part of the blessings. However, most Spirit filled born again Christians are far from realizing this blessing because of the lack of proper biblical knowledge on this matter. To make manifest financial blessing a believer needs more than...